mareeTZ
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 171
- 179
Mwanasayansi maarufu na nguli la hisabati na Fizikia Sir Albert Einstein aliwahi kutoa maana ya neno uwendawazimu iliyowashangaza watu wengi.. Alisema hivi "uwendawazimu ni ile hali ya kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu huku ukitegemea matokeo tofauti".
Kwa tafsiri ya Einstein Watu wawili muhimu katika klabu wameamua kuachana na uwendawazimu kabisa msimu huu, hawa ni mocha Arsene wenger na kiungo mpishi Mesut Mustafa Oezil.
Kwa upande wa Ozil kufunga goli kwake ilikuwa sawa na ilikuwa sio kitu cha muhimu lakini mwisho wa siku anategemea time ichukuwe ubingwa au ifanye vizuri. Akiwa Real madrida alikuwa hafungi! Sasa kwanini ajisumbue? Kulikuwa na Ronaldo, benzema, higuain, hapa kufunga kwake ilikuwa ni sawa na kuchota maji bombani na kumwaga mtoni. Alipewa majukumu ya ku assist tu. Mwisho wa msimu vikombe vilimiminika.
Alipojiunga na arsenal akaendeleza majukumu yaleyale akitegemea matokeo tofauti, akasahau hachezi tena na Ronaldo, Arsenal akitengeneza nafasi 10 za kufunga zinatumiwa mbili... Mwisho wa siku timu haifanyi vizuri.... Sasa amegundua alikuwa anafanya uwendawazimu.. Anafunga sasa, amebadilika ameachana na uwendawazimu.
Arsenal wenger ndani ya miaka minne iliyopita amemtumia Giroud kama mshambuliaji mkuu wa arsenal licha ya kelele nyingi za mashabiki,wachambuzi na hata Mimi kuwa Giroud siyo mchezaji wa kiwango cha arsenal .... Wanaobisha nendeni YouTube tafuteni walichokuwa wanakifanya Ian Wright, Thierry Henry, Adebayor, Eduardo, Van Persie na wengineo kisha linganisha na Giroud.... Utajisikia aibu.
Licha ya kelele hizi wenger aliweka pamba masikioni. Alikuwa katika kipindi cha uwendawazima akisubiri matokeo mapya kwa kufanya yaleyale tunayopigia kelele. Wapo waliotania kuwa Giroud Ana picha za utupu za wenger hivyo wenger anamchezesha tu kulinda maslahi yake teh! teh! teh!
Baada ya msimu huh kuanza tabasamu lilitawala baada ya kugundua wenger kaachana na uwendawazimu mama kijana wake Ozil. Kutokana na Kiwango alichokionesha Giroud katika michuano ya Euro ni dhahir wengi waliamini wenger angeendelea kumchezesha msimu huh. Lakini kumbe tayar baby yetu alikuwa tayari kashaamua kupeana talaka na uwendazimu, alihitaji kufanya kitu cha tofauti. Aliamua kuja na aina mpya ya mshambuliji.
Anayenyumbulika , mwenye chenga, mwenye kasi, hii ndio sababu kuu ya kumnunua Lucas Perez na kumuhitaji Jamie Vardy.... Lakini kutokana na perez kuchelewa na dili la vardy kuvunjika huku Sanchez akionesha kiwango kikubwa huko Copa America akichezeshwa namba Tisa, wenger aliamua kumjaribu kwente Tisa arsenal... Yaliyofuatia tuwaulize mabeki wa Chelsea na wenzao.