Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

Eti Salimu Mwalimu ana ushawishi Tanganyika 🤣🤣🤣🤣🤣.
Salimu Mwalimu ni mtu wa siasa Nyepesi ndio maana hajawahi hata kukaa mahabusu wiki moja .

Mtu wa TISS ndani ya vyombo vya habari aliyeingiza kwenye siasa kwa malengo maalumu ya kudhoofisha upinzani . Awamu hii anaona ni afadhali asimame na wazanzibari wenzake kutafuna raslimali za wayanganyika.
 
Alisema kuanzia June ataizunguka Tanganyika kwa siku 16 (kwa kutumia chopa)🤔 chanzo cha mapato!?
 
Sasa hapo ndipo shida inapoanzia kibaya shida itakupata mrusha jiwe uanze kulia lia, let every be free!, haupendi kwenda usitie mguu.
PolisiCCM hawajabaini viashiria vya fujo na kuvunjika amani wazuie mkutano?
 
Mziki wa Singeli za dulla makabila ulitawala badala ya hotuba!!! Nasisitiza wajitahidi kusomba watu kwenye malori kutoka sehem mbalimbali mkutano ujae watu!!!
 
Rebels...
 
Alisema kuanzia June ataizunguka Tanganyika kwa siku 16 (kwa kutumia chopa)🤔 chanzo cha mapato!?View attachment 3346026

Bora watafune pesa za Mama mapema maana heka heka zikianza kila waziri na mbunge atakua anaangalia hatima yake.


Na awamu hii kama hakuna marekebisho ya Sheria hakuna diwani wala mbunge wa CCM atakubali kushindwa maana akishindwa ndio basi tena .
Mbunge gani wa CCM atakubali kukosa mshahara wa mil.18 wakati sheria inaruhusu kuiba kura na kubadili matokeo kirahisi . Ni sawa na kuacha mlango wa choo cha stand wazi bila ulinzi halafu ukikute kikiwa kisasfi.

Hakuna mpinzani atakayepata jimbo Tanganyika labda zito Kabwe peke yake.

Chauma kitadoda kabla ya uchaguzi. Watu watakwenda kula ubwabwa tu na kurudi zao nyumbani .

Wetu wengi walioandikishwa na kuhakikiwa ni wanachama wa CCM . Wengine wote majina yao yatachanganywa au hawatayaona kabila . Kwa hiyo kura upinzani hazitaonekana kabisa .
 
Unaweza kupoteza MB kuwasikiliza watakacho kuja kujieleza hapo ni kulalamikia chadema
Hivi Wana muda na chadema kwani?!!!! Mbona mi naona chadema ndo Wana muda na CHAUMA. Sijawahi wasikia wakipoteza muda wao kuizungumzia chadema Bali mambo yao; ila naona chadema ndo kitwa kucha kuhangaika na CHAUMA........ threads za kutosha za mawakala wa chadema chakavu humu jukwaani ni ushahidi wa niyasemayo.
 
CHAUMMA hakina tovuti wala social media accounts, habari zake zinapostiwa na wanachadema. Hazitolewi kama taarifa bali kama lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…