Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wamejitia kitanzi kiulainii.Hapo bado njaa
Yupo bize amejikaratini sasa hivi anachungulia sm kwa mbaaaaaliHuyo jamaa huwa anajificha akiona habari kama hizi.
MK254 kikinuka Kenya 🇰🇪 uje bongo kubeba ndwika
Hivyo eee!! Kumbe kufa Siri ,bc hata Italy wangewez kufanya Siri Kama kufa Siri .ndio maana nakwambia kilacku umeanza kukomaa shingo kuja chini hilo ndio tatizo hivi kwa Tz ugonja ni sawa na kusema upo dar na Zanzibar, hivi dar eneo dogo vile kuwe kilacku wanakufa wa zaidi ya 1000 makaburi c lazima yangechibwa kwa kijiko . uwe unajiongeza mda mwengine usiwe Kama wanasiasa wa upinzani tu akili zako.Nije huko mnakopukutika kimya kimya na kuficha vichwa ardhini, uongozi ambao ushapoteza ramani kwa kujichokea, tutapambana papa hapa, duniani kote kila taifa limeathirika na kupambana, hata mabingwa wa usiri kama Iran na Urusi wamekubal kushirikiana na dunia, Tanzania ndio inaitia Afrika aibu kwa kuamua watu wajifie kisiri kisa serikali inaogopa kusemwa na upinzani.
Ila munatuwakilisha vizur ukanda huu !mpo buku naa hongereni majirani hakuna kongo Wala nani mmejipanga majiran!!Nije huko mnakopukutika kimya kimya na kuficha vichwa ardhini, uongozi ambao ushapoteza ramani kwa kujichokea, tutapambana papa hapa, duniani kote kila taifa limeathirika na kupambana, hata mabingwa wa usiri kama Iran na Urusi wamekubal kushirikiana na dunia, Tanzania ndio inaitia Afrika aibu kwa kuamua watu wajifie kisiri kisa serikali inaogopa kusemwa na upinzani.
Umenikumbusha Mbeya City maeneo ya Tukuyu, ndwika kwa kwenda mbele.MK254 kikinuka Kenya 🇰🇪 uje bongo kubeba ndwika
Umeanza kuongea kiuhalisia...ila kwa TZ rest be assured kuwa vifo vinavyotokana na Corona ni vichache mno...TZ haitii aibu Africa Bali tunakuwa admired dunia nzima...wewe mwenyewe unajua hivyo ila kwa kuwa unafanya kazi za propaganda mitandaoni against TZ huwezi kukiri waziwazi..But moyoni mwako unajua for sure kuwa hatua inazochukua TZ kupambana na maambukizi ya Corona ni sahihi kabisa.Nije huko mnakopukutika kimya kimya na kuficha vichwa ardhini, uongozi ambao ushapoteza ramani kwa kujichokea, tutapambana papa hapa, duniani kote kila taifa limeathirika na kupambana, hata mabingwa wa usiri kama Iran na Urusi wamekubal kushirikiana na dunia, Tanzania ndio inaitia Afrika aibu kwa kuamua watu wajifie kisiri kisa serikali inaogopa kusemwa na upinzani.
Umeanza kuongea kiuhalisia...ila kwa TZ rest be assured kuwa vifo vinavyotokana na Corona ni vichache mno...TZ haitii aibu Africa Bali tunakuwa admired dunia nzima...wewe mwenyewe unajua hivyo ila kwa kuwa unafanya kazi za propaganda mitandaoni against TZ huwezi kukiri waziwazi..But moyoni mwako unajua for sure kuwa hatua inazochukua TZ kupambana na maambukizi ya Corona ni sahihi kabisa.....upinzania Tanzania kwa Sasa hauna nguvu kabisa..hivi Sasa umezidi kuwatia hasira wananchi walio wengi baada ya kubainika kuwa wapinzani wanashirikiana na mabeberu kuendesha Vita vya propaganda na kisaikolojia against TZ...kosa kubwa walilofanya wapinzani ni kupika takwimu na kuwasilisha kwa wazungu..hivi Sasa mitaani na vijijini n hini TZ gumzo ni Magufuli tu kuhusu msimamo wake wa kishujaa kuhusu suala la Corona...wapinzani wanaonekana Sasa kuwa ni waongo na waliokata tamaa...upo uwezekano mkubwa kwenye uchaguzi wa wa Oktoba wasipate hata viti 10 bungeni ukiondoa Zanzibar...Magufuli anaweza akapata zaidi ya asilimia 95 ya kura zote..
Katika maisha yako ulishawahi kuona vifo vingi (kama unavyodai) kuwa siri? Hakuna kifo kuwa siri ila vifo vingi havipo! Vingekuwepo tungeviona na kuvisikia maana kila mtu ana ndugu, marafiki, majirani na wafanyakazi wenzake,. Hivyo haiwezekani vifo kuwa siri hata kidogo, havipo na siri yetu iko wazi tangu mwanzo yaani kumtegemea Mungu!Nije huko mnakopukutika kimya kimya na kuficha vichwa ardhini, uongozi ambao ushapoteza ramani kwa kujichokea, tutapambana papa hapa, duniani kote kila taifa limeathirika na kupambana, hata mabingwa wa usiri kama Iran na Urusi wamekubal kushirikiana na dunia, Tanzania ndio inaitia Afrika aibu kwa kuamua watu wajifie kisiri kisa serikali inaogopa kusemwa na upinzani.
Mbagala pia! Ila usituletee korona!!Umenikumbusha Mbeya City maeneo ya Tukuyu, ndwika kwa kwenda mbele.
Katika maisha yako ulishawahi kuona vifo vingi (kama unavyodai) kuwa siri? Hakuna kifo kuwa siri ila vifo vingi havipo! Vingekuwepo tungeviona na kuvisikia maana kila mtu ana ndugu, marafiki, majirani na wafanyakazi wenzake,. Hivyo haiwezekani vifo kuwa siri hata kidogo, havipo na siri yetu iko wazi tangu mwanzo yaani kumtegemea Mungu! 1. Rais aliagiza maombi ya kufunga Taifa lote ya siku 3! Mungu alisikia maombi yetu. 2. Mwisho baada ya Mungu kutuponya tofauti na matarajio ya maadui zetu Rais Magufuli aliagiza maombi ya shukrani kwa Mungu ya siku 3!! That approach is what makes a remarkable difference between us and the rest of the rest of the world!!
Sent using Jamii Forums mobile app
MK254 kwa comment hii inawezekana wewe siyo mwafrika....na Kama ni mwafrika then you should be ashamed ..Utajuaje ni vichache wakati mumejichokea na kushindwa kuendelea kupima, tatizo lenu kubwa ni umaskini mpaka mnashindwa kuchukua tahadhari yoyote.
Mna bahati na mshukuru sana hiki kirusi hakina balaa sana kwa Waafrika.
Ni Bora sisi masikini tunatumia 10 tukiyonayo kuliko nyie mnatumia ya mkopo100 ya masharti lukuki.Utajuaje ni vichache wakati mumejichokea na kushindwa kuendelea kupima, tatizo lenu kubwa ni umaskini mpaka mnashindwa kuchukua tahadhari yoyote.
Mna bahati na mshukuru sana hiki kirusi hakina balaa sana kwa Waafrika.
Ni Bora sisi masikini tunatumia 10 tukiyonayo kuliko nyie mnatumia ya mkopo100 ya masharti lukuki.