Makalio makubwa yageuka Bunduki kwa madada wa mjini

Champ

Senior Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
109
Reaction score
190
Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu.
"MAKALIO YAO" Asilimia kubwa ya wanawake hasa wa mjini wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k.
Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini kutunasa?
We wafuatilie watembeapo huzungusha makalio, wapigapo picha hubinuwa makalio, walalapo kwa Bed huyaweka makalio yao juu juu.
Hivi ina maana makalio yenu yamegeka silaha yenu?
Na hii imewachangia baadhi ya wanaumme wawaze kuwatafuna utumbo mdogo a.k.a"0715"
Unakuta mwanamke kwa sura mzuuriii..Lakini kama ni flat screen anapoteza confidence kabisa.
At the same time unaweza kumkuta demu sura nguumuu..Imekunjamana kama kalamba ndimu. Lakini kwa sababu kajaaliwa Makalio mbinuko anajiamini plus kiburi juu.
Makalio a.k.a Wowowo ni SMG kwenu?

 
Utafiti huu unahusiana 100% kabisa. Asanteni wenye makalio mzigo kama yule wa Kigamboni Kibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…