Ungeambatanisha na picha nafikiri ingekuwa rahisi zaidi kwa wataalamu kukusaidia!.
swali kwanza! Wee ni mweupe au mweusi?
jf is never boring...ungeambatanisha na picha nafikiri ingekuwa rahisi zaidi kwa wataalamu kukusaidia!.
Makalio yako meusi wewe mwenyewe rangi gani? Jipakae Limau huo weusi utaondokaHabari zenu,
Nna tatizo la weusi kwenye Makalio na bikini line (katikati) pagoda na vipele vigumu chini ya makalio. Anaejua namna ya kuondoa hili tatizo naomba anisaidie, nakosa raha haswa nkiwa faragha.
Siwezi piga picha...... Ilo eneo mh.
na wewe ni mweusi au mweupe?
Ungeambatanisha na picha nafikiri ingekuwa rahisi zaidi kwa wataalamu kukusaidia!.