the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
MAKALLA AMPONGEZA LISSU KUKIRI CHADEMA HAINA WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amesema Chama hicho Kipo tayari na kimethibitisha kushika dola lakini CHADEMA haina uwezo huo na Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu amekiri hadharani.
Pia soma: Amosi Makalla mwenezi wangu punguza kuwataja taja CHADEMA katika Mikutano yako unawapa unnecessary mileage