MAKALLA AMPONGEZA LISSU KUKIRI CHADEMA HAINA WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amesema Chama hicho Kipo tayari na kimethibitisha kushika dola lakini CHADEMA haina uwezo huo na Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu amekiri hadharani.

Kwa chaguzi hizi za kishenzi, sioni mtu akiwa tayari kupoteza muda kwenye chaguzi ambazo anayetakiwa kutangazwa ni mgombea wa ccm. Inshort hakuna mtu atajitokeza kushiriki upuuzi.