LGE2024 Makalla: CCM hatucheki na mtu katika kushika Dola, tumejipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo.

CPA Makalla ameyasema hayo leo Movemba 23,2024 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka.

Amesema kuwa kwa sasa Chama hicho kimeendelea kufanya kampeni za Uchaguzi huo na walizindua kampeni zao rasmi Novemba 20 mwaka huu katika mikoa yote nchini na tangu kuanza kampeni hizo wagombea wa Chama hicho wataibuka na ushindi wa kishindo .

WhatsApp Image 2024-11-23 at 15.45.52.jpeg

"Katika uchaguzi huu wa Serikali ya Mitaa tutashinda na tunataka ushindi wa kishindo.Kwa jinsi ambavyo CCM tumejipanga ni sawa na kusema yanayoendelea ni sawa na kusema yajayo yanafurahisha,"amesema CPA Makalla.

Akisisitiza zaidi amesema uchaguzi huo ni muhimu na CCM inachukulia uchaguzi huo kwa umuhimu mkubwa kwani inatambua kazi ya chama cha siasa ni kushika dola na Chama hicho kinaanza na kushinda uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

WhatsApp Image 2024-11-23 at 15.45.55.jpeg

"Kazi ya Chama cha siasa kilichosajiliwa ni kuhakikisha kinashika dola maana kazi ya kuhubiri kwenda mbinguni hiyo inafanywa na viongozi wa dini.Kwa kutambua umuhimu wa kushika dola ndio maana katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM imeweka wagombea wake kwa asilimia 100 kwani hakuna Mtaa,Kijiji Wala Kitongoji ambacho tumeacha,kote tumesimamisha wagombea a kwa nafasi zote.

"Vyama vingine havina utayari na ndio maana wameshindwa kusimamisha wagombea katika nafasi zote na mpaka sasa kuna Mitaa ambayo tayari wagombea wake hawana washindani,"amesma CPA Makalla na kuongeza katika maeneo ambayo wapinzani hawajasimamisha wagombea kampeni ziendelee maana kutakuwa na ndio au hapana.

=====
 
Kutokucheka sawa,je mengineyo hasa vile vitimbi vya enzi za chaguzi sijasikia tamko.
 
Hawa chadema nao ni wenu tu nimetuma swali langu kwenye kata yangu naona wamelikwepa🤔 kwa hoja za kijinga sana
 
  • Kicheko
Reactions: Tui

KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo.

CPA Makalla ameyasema hayo leo Movemba 23,2024 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka.

Amesema kuwa kwa sasa Chama hicho kimeendelea kufanya kampeni za Uchaguzi huo na walizindua kampeni zao rasmi Novemba 20 mwaka huu katika mikoa yote nchini na tangu kuanza kampeni hizo wagombea wa Chama hicho wataibuka na ushindi wa kishindo .

"Katika uchaguzi huu wa Serikali ya Mitaa tutashinda na tunataka ushindi wa kishindo.Kwa jinsi ambavyo CCM tumejipanga ni sawa na kusema yanayoendelea ni sawa na kusema yajayo yanafurahisha,"amesema CPA Makalla.

Akisisitiza zaidi amesema uchaguzi huo ni muhimu na CCM inachukulia uchaguzi huo kwa umuhimu mkubwa kwani inatambua kazi ya chama cha siasa ni kushika dola na Chama hicho kinaanza na kushinda uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

"Kazi ya Chama cha siasa kilichosajiliwa ni kuhakikisha kinashika dola maana kazi ya kuhubiri kwenda mbinguni hiyo inafanywa na viongozi wa dini.Kwa kutambua umuhimu wa kushika dola ndio maana katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM imeweka wagombea wake kwa asilimia 100 kwani hakuna Mtaa,Kijiji Wala Kitongoji ambacho tumeacha,kote tumesimamisha wagombea a kwa nafasi zote.

"Vyama vingine havina utayari na ndio maana wameshindwa kusimamisha wagombea katika nafasi zote na mpaka sasa kuna Mitaa ambayo tayari wagombea wake hawana washindani,"amesma CPA Makalla na kuongeza katika maeneo ambayo wapinzani hawajasimamisha wagombea kampeni ziendelee maana kutakuwa na ndio au hapana.

=====
Automatically kitu kikaa sana popote pale huchokwa
 
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha wanashinda kwa kishindo.

CPA Makalla ameyasema hayo leo Movemba 23,2024 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka.

Amesema kuwa kwa sasa Chama hicho kimeendelea kufanya kampeni za Uchaguzi huo na walizindua kampeni zao rasmi Novemba 20 mwaka huu katika mikoa yote nchini na tangu kuanza kampeni hizo wagombea wa Chama hicho wataibuka na ushindi wa kishindo .

"Katika uchaguzi huu wa Serikali ya Mitaa tutashinda na tunataka ushindi wa kishindo.Kwa jinsi ambavyo CCM tumejipanga ni sawa na kusema yanayoendelea ni sawa na kusema yajayo yanafurahisha,"amesema CPA Makalla.

Akisisitiza zaidi amesema uchaguzi huo ni muhimu na CCM inachukulia uchaguzi huo kwa umuhimu mkubwa kwani inatambua kazi ya chama cha siasa ni kushika dola na Chama hicho kinaanza na kushin

da uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

"Kazi ya Chama cha siasa kilichosajiliwa ni kuhakikisha kinashika dola maana kazi ya kuhubiri kwenda mbinguni hiyo inafanywa na viongozi wa dini.Kwa kutambua umuhimu wa kushika dola ndio maana katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa CCM imeweka wagombea wake kwa asilimia 100 kwani hakuna Mtaa,Kijiji Wala Kitongoji ambacho tumeacha,kote tumesimamisha wagombea a kwa nafasi zote.

"Vyama vingine havina utayari na ndio maana wameshindwa kusimamisha wagombea katika nafasi zote na mpaka sasa kuna Mitaa ambayo tayari wagombea wake hawana washindani,"amesma CPA Makalla na kuongeza katika maeneo ambayo wapinzani hawajasimamisha wagombea kampeni ziendelee maana kutakuwa na ndio au hapana.
=====
 
Sisiem haitoi nafasi ya uongozi kwa mtu asiye tayari kupigania kura/ Nafasi even kwa Gharama ya uhai was mtu.
 
What goes around comes around wabakishe kesho kwa faida ya watoto na wajukuu zao ili karma isiwapatilize kwa upanga hadi kizazi cha nne. Makala kumbuka kwako kule madizini turiani panafahamika.
 
Back
Top Bottom