LGE2024 Makalla: CCM hatucheki na mtu katika kushika Dola, tumejipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uthibitisho kuwa 4Rs ni danganya Toto.
 
na wala CCM haitaona haya, haitaona aibu wala kumuonea huruma mshindani yeyote wa kisiasa katika suala la ushindi wa kishindo katika uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali, kuongoza nchi na kuwatumikia waTanzania, na hatimae kuwaletea Maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchmi kama ilivyo sasa..

Naomba dunia ielewe hivyo 🐒
 
Makalla umepwaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…