Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla akizungumza hayo leo Oktoba 22, 2024 wakati wa hafla ya kupokea taarifa ya zoezi la uandikishaji wa daftari la mkazi la uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa CCM ipo tayari kwa matokeo yoyote
“Tunaamini uchaguzi huu utakuwa huru na haki, CCM itakuwa chama kiongozi cha kuheshimu matokeo yoyote, aliyeshindwa, ameshindwa, aliyeshinda atatangazwa mshindi. Umeshinda uchaguzi kwa haki utatangazwa mshindi, umeshindwa upokee matokeo hayo.
Kwa hiyo CCM haihitaji mbeleko kwa kazi ilizo zifanya kwa maandalizi tuliyoyafanya, tunaamini wananchi watatuelewa muda ukifika kama walivyotuelewa katika hamasa ya uandikishaji. Kwa hiyo tunasubiri muda huo ufike, tukafanye kampeni za haki lakini pia mwenye haki ashinde uchaguzi huo”