Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora
Makala sio mda atashindwa kula hata nyama ,atafedheheshwa sana asema BwanaKatibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora
Wezi wote huwa wanakana kuhusika na wizi huko mahakamani kabla ya kutiwa hatiani...Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora
Walimchukua maelezo na ushahidi upo.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora
CCM ni genge la wahalifu tupuYaani CCM imekuwa Chama cha kukana tuhuma kama vibaka na wahalifu wengine wafanyavyo