LGE2024 Makalla: CCM itatumia 4R za Rais Samia katika hatua yake ya kuuteketeza kabisa Upinzani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mzee Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2024
Posts
219
Reaction score
279

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.

Amesisitiza kuwa viongozi na wanachama wa CCM watakaopata fursa ya kuzungumza katika majukwaa ya kisiasa katika kampeni za uchaguzi huo, watajikita kueleza maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Dk. Samia katika ngazi ya vijiji, vitongoji na mitaa.

Makalla aliyasema hayo jijini Dar es Salaam leo, wakati akizungumza na maelfu ya wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kwenye ukumbi wa Mwigo Tabata,ambapo alitumia fursa hiyo kuelelezea msimamo wa CCM kuelekea uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.

Soma Pia: Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2024

"Uchaguzi huu utaongozwa na 4R za Mheshimiwa Rais ambazo ni Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding). CCM inaahidi kufanya kampeni za kistaarabu, hivyo tunaviomba vyama vingine pindi ambapo kampeni zitakapoanza, twendeni na 4R.

"Tujenge hoja na tutofautiane kwa itikadi kwani tuna Tanzania moja. Uchaguzi uiache Tanzania ikiwa moja yenye amani na utulivu. CCM tunavyosema ndiyo tunamaanisha.

Makalla alisisitiza: "Kwa mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kila mwanaCCM akipewa nafasi ya kuongea jukwaani ataongea mambo mengi yaliyofanywa. Kwa hiyo kwetu sisi matusi, kejeli haitokuwa sehemu yetu."
 
View attachment 3145524

Tujenge hoja na tutofautiane kwa itikadi kwani tuna Tanzania moja. Uchaguzi uiache Tanzania ikiwa moja yenye amani na utulivu. CCM tunavyosema ndiyo tunamaanisha.
Anahubiri wasichomaanisha na wanamaanisha wasichohubiri
 
Kabisa, yaani uhalisia ni tofauti na anachohubiri. Na anaamini kuwa tunaamimini hizo porojo zake.
 
Inawezekana Makalla anaugua ugonjwa mbaya wa hallucinations na hajui kwamba anaumwa
Ni kweli nadhani CPA Makalla anahitaji tiba maana mgonjwa kweli kweli. Kiukweli huku mtaani CCM haisomeki kabisa tena haisomeki pamoja na mgombea na ukiangalia hakuna mpango wa kuamsha amsha zaidi ya ku maintain status quo.
 
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.

Amesisitiza kuwa viongozi na wanachama wa CCM watakaopata fursa ya kuzungumza katika majukwaa ya kisiasa katika kampeni za uchaguzi huo, watajikita kueleza maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Dk. Samia katika ngazi ya vijiji, vitongoji na mitaa.

Makalla aliyasema hayo jijini Dar es Salaam leo, wakati akizungumza na maelfu ya wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kwenye ukumbi wa Mwigo Tabata,ambapo alitumia fursa hiyo kuelelezea msimamo wa CCM kuelekea uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.

Soma Pia: Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2024

"Uchaguzi huu utaongozwa na 4R za Mheshimiwa Rais ambazo ni Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding). CCM inaahidi kufanya kampeni za kistaarabu, hivyo tunaviomba vyama vingine pindi ambapo kampeni zitakapoanza, twendeni na 4R.

"Tujenge hoja na tutofautiane kwa itikadi kwani tuna Tanzania moja. Uchaguzi uiache Tanzania ikiwa moja yenye amani na utulivu. CCM tunavyosema ndiyo tunamaanisha.

Makalla alisisitiza: "Kwa mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kila mwanaCCM akipewa nafasi ya kuongea jukwaani ataongea mambo mengi yaliyofanywa. Kwa hiyo kwetu sisi matusi, kejeli haitokuwa sehemu yetu."
Safi
 
Kauli hii ni uthibitisho wa nia ovu ya 4R za Samia, vyama vya upinzani havina budi kujitoa kwenye 4R.
 
Wataalam wa nadharia! Hali halisi imeshaanza kjitokeza ktk hiyo mikkti wkt wa mateuzi yao hv karbn. Mtifuano tosha ...!
 
Kabisa, yaani uhalisia ni tofauti na anachohubiri. Na anaamini kuwa tunaamimini hizo porojo zake.
Talks 2 much. Tantamount 2 hallucinations! No time 4 for family. Always out singing "mama mama, huyo, mama mama..." etc
 
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.

Amesisitiza kuwa viongozi na wanachama wa CCM watakaopata fursa ya kuzungumza katika majukwaa ya kisiasa katika kampeni za uchaguzi huo, watajikita kueleza maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Dk. Samia katika ngazi ya vijiji, vitongoji na mitaa.

Makalla aliyasema hayo jijini Dar es Salaam leo, wakati akizungumza na maelfu ya wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kwenye ukumbi wa Mwigo Tabata,ambapo alitumia fursa hiyo kuelelezea msimamo wa CCM kuelekea uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.

Soma Pia: Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2024

"Uchaguzi huu utaongozwa na 4R za Mheshimiwa Rais ambazo ni Maridhiano (Reconciliation), Ustahamilivu (Resilience), Mageuzi (Reforms), na Kujenga upya Taifa (Rebuilding). CCM inaahidi kufanya kampeni za kistaarabu, hivyo tunaviomba vyama vingine pindi ambapo kampeni zitakapoanza, twendeni na 4R.

"Tujenge hoja na tutofautiane kwa itikadi kwani tuna Tanzania moja. Uchaguzi uiache Tanzania ikiwa moja yenye amani na utulivu. CCM tunavyosema ndiyo tunamaanisha.

Makalla alisisitiza: "Kwa mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kila mwanaCCM akipewa nafasi ya kuongea jukwaani ataongea mambo mengi yaliyofanywa. Kwa hiyo kwetu sisi matusi, kejeli haitokuwa sehemu yetu."
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom