Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali haihamasishi watu kuiandikisha.
"Jamani, uandikishaji, hamasa ni kazi ya serikali? Kazi ya kuhamasisha ni kama hii ni anayofanya Nchimbi na secretariat yote ya viongozi wa vyama.
"Serikali inatoa taangazo, inapeleka redioni, kwenye TV, kwahiyo Mnyika we unategemea Serikali ikuombee kura kweli? Serikali inatoa tangazo, kazi ya kuhamasisha ni ya vyama vya siasa kama CCM inavyofanya kazi sasa hivi."
Pia soma:
- Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura
- Kuelekea 2025 - CHADEMA Wamekata tamaa ya Siasa na kuna uwezekano wa kushindwa kushiriki Uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa visingizio Dhaifu.