Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali haihamasishi watu kuiandikisha.
"Jamani, uandikishaji, hamasa ni kazi ya serikali? Kazi ya kuhamasisha ni kama hii ni anayofanya Nchimbi na secretariat yote ya viongozi wa vyama.
"Serikali inatoa taangazo, inapeleka redioni, kwenye TV, kwahiyo Mnyika we unategemea Serikali ikuombee kura kweli? Serikali inatoa tangazo, kazi ya kuhamasisha ni ya vyama vya siasa kama CCM inavyofanya kazi sasa hivi."
Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na mwelekeo chadema wameingia woga, baridi na kuishia kulalamika. Jana nilimsikia Mnyika anasema serikali haihamasishi watu kuiandikisha.
"Jamani, uanidkishaji, hamasa ni kazi ya serikali? Kazi ya kuhamasisha ni kama hii ni anayofanya Nchimbi na secretariat yote ya viongozi wa vyama.
"Serikali inatoa taangazo, inapeleka redioni, kwenye TV, kwahiyo Mnyika we unategemea sserikali ikuombee kura kweli? Serikali inatoa tangazo, kazi ya kuhamasisha ni ya vyama vya siasa kama CCM inavyofanya kazi sasa hivi."