Pre GE2025 Makalla: Maamuzi yamefanywa na Mkutano Mkuu hata mi naogopa, Malisa kaondolewa kwa utovu wa nidhamu

Pre GE2025 Makalla: Maamuzi yamefanywa na Mkutano Mkuu hata mi naogopa, Malisa kaondolewa kwa utovu wa nidhamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kwahiyo Mkutano Mkuu upo kama jiwe, limeshakauka haliwezi kufinywangwa? Wenzetu kwenye Mkutano Mkuu ni malaika hawawezi kukosea? Ikisemwa ndio imetoka hiyo?😂😂.

Mpaka Makalla anatetemeka ugali usije kukatishwa shughuli yake ikaisha? :BearLaugh:

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kuna nidhamu afu kuna uoga unaokufanya ufanye mambo kama huna kichwa mradi tu Boss afurahi.

Mambo yao tunawaachia wenyewe mpaka yawaue au tunabadilisha upepo Wakuu?🌚🌚




"....chama chochote cha siasa ukikosea kuwa na taratibu na nidhamu ndani ya chama kuna siku itatokea tu uasi, bila kuwa na taratibu na maadili ya wanachama ni fujo...Malisa jina lake, maamuzi yamefanywa na Mkutano Mkuu wa Taifa kikao cha mwisho hata mimi mwenyewe naogopa....tunaheshimu Mkutano Mkuu..” Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM - Amos Makalla
 
Aiseee!!! Kwahiyo mkutano mkuu haukosolewi? Vipi kama ukifanya maamuzi yanayokinzana na katiba?
 
Back
Top Bottom