PreGE2025 Makalla: Rais Samia ana mchango mkubwa sana kwa timu ya Simba kufika fainali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos Makalla katibu Mwenezi wa CCM.

Your browser is not able to display this video.
 
Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos Makalla katibu Mwenezi wa CCM
Kumbe kasema makala
 
Nilitegemea hili,na huko visiwani atawaambia yeye ndiye kapeleka Simba New Amaan stadium.
 
Mchango upi huo au alicheza na kama alicheza, alicheza namba ngapi au ni mimi tu ndo sikumuona
 
Naomba picha ya waliokua wanamsikiliza naamini watakua ni mafukara, jobless, watu wenye Hali ngumu sana ya maisha wasio na Cha kufanya, sababu kiuhalisia huwez kua na pesa na shuhuli nyingi za kufanya tukakaa.kusikiliza huu ujinga.
 
Si aiwezeshe Taifa Stars kuchukua kombe la dunia, badala ya hizi timu zinazomilikiwa na wahindi na zimejaza wachezaji wa nje?
 
Kifuatacho.......!! Ni kwamba mtaambiwa bila rais pumzi msingeweza kuipata!! Ni suala la muda tu..!!
 
Tukutane jioni baada ya mechi
 
Mimi ni simba damu ila kama huyo Mama yenu anataka kujihusisha na mafanikio ya simba bora simba wafungwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…