Makalla: Tutafunga screen kwenye mikoa ili watu wafuatilie uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini.

Kuna haja kweli ya kufuatilia uteuzi....!? Waendelee tu na utaratibu wao mwa Mwenyekiti anamteua wajumbe wa Naunga mkono. Zidumu fikra za Mwenyekiti...!!

Chadema kweli inawafundisha CCM demokrasia. Sasa wanaona aibu wanataka kumodify uteuzi.
 
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Hii ndiyo CCM chama kubwa la Afrika sio wale waropokaji kila siku wanadai posho kwenye mikutano yao
 
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Mgombea ,wajumbe hawamjui hadi muda huu😳
 
Wamjuwe ili iweje?. Kila jambo linamuda wake so kaa kwa kutulia
Demokrasia hapo Iko wapi???
Mnakuja na jina la mgombea mfukoni Karne hii?
Mfano,mkileta jina la wasira na pinda, mnategemea ni mgombea Bora kweli 😏
 
Kila chama kinautaratibu wake so kama unaona sio Demokrasia basi kaa pembeni
 
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Hata wakifunga milangoni mwa nyumba za watu, hakuna atakayepoteza muda kufuatilia
 
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Nani ana huo muda wa kupoteza kuangalia maigizo...yaani kuna watu wanaweza kupoteza muda kuangalia huo upuuzi.
 
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Labda waweke na bia na nyama choma vinginevyo asipoteze muda wake bure
 
Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.

Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

Ndio nini sasa?
 
Huu ni ujinga wa kiCCM.
Katika mazingira ambayo zaidi ya vituo vinne vya Tv hapa Tz (Azam, TBC, Star Tv, Channel ten) vitarusha live bureee matangazo ya mkutano wa CCM kule Dodoma, kuna haja gani ya kufunga screen mitaani?
 
Ufujaji wa pesa tu.
Ni asilimia ndogo sana ya wananchi watakaopoteza muda wap kufuatilia.
 
Back
Top Bottom