Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini.
Hii ndiyo CCM chama kubwa la Afrika sio wale waropokaji kila siku wanadai posho kwenye mikutano yaoSasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Mgombea ,wajumbe hawamjui hadi muda huu😳Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Wamjuwe ili iweje?. Kila jambo linamuda wake so kaa kwa kutuliaMgpmbea ,wajumbe hawamjui hadi muda huu😳
Demokrasia hapo Iko wapi???Wamjuwe ili iweje?. Kila jambo linamuda wake so kaa kwa kutulia
Kila chama kinautaratibu wake so kama unaona sio Demokrasia basi kaa pembeniDemokrasia hapo Iko wapi???
Mnakuja na jina la mgombea mfukoni Karne hii?
Mfano,mkileta jina la wasira na pinda, mnategemea ni mgombea Bora kweli 😏
Hata wakifunga milangoni mwa nyumba za watu, hakuna atakayepoteza muda kufuatiliaSasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Nani ana huo muda wa kupoteza kuangalia maigizo...yaani kuna watu wanaweza kupoteza muda kuangalia huo upuuzi.Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
🤣🤣🤣🤣Hata wakifunga milangoni mwa nyumba za watu, hakuna atakayepoteza muda kufuatilia
Labda waweke na bia na nyama choma vinginevyo asipoteze muda wake bureSasa kumekucha CCM wanajambo lao!
Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa!
=====================
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchama wao nchini. Amesema wamepokea mialiko mingi lakini sasa wameona wafunge screen ili tu kila mwanaCCM au mwananchi apate kufuatilia mkutano huo tarehe 18 na 19 mwezi huu Januari.
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Ndio nini sasa?Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!

Utaratibu mnao utumia ni mbovu sana! UondoeniKila chama kinautaratibu wake so kama unaona sio Demokrasia basi kaa pembeni
Huu ni ujinga wa kiCCM.Sasa kumekucha CCM wanajambo lao!