Pre GE2025 Makalla: Uchaguzi mkuu utakuwa huru, matusi na kejeli sio utamaduni wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema anaamini uchaguzi mkuu utakuwa huru ambapo mwenye haki ya kushinda atatangazwa mshindi.

Soma Pia: Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo


Aidha, Makala amesema kuwa matusi na kejeli sio utamaduni wa CCM huku akikemea nadharia za wanaodhani kuwa uchaguzi huru ni kushindwa kwa chama tawala.

Your browser is not able to display this video.
 
Ila wizi wa Kura ni sehemu ya ukabaila wa CCM
 
Wa mitaa walisema hivi hivi sasa hivi kuna vilema kibao kisa viongozi wasio na mshahara ijekuwa ubunge wenye mapesa kibao, tutapigwa saana
 
Hizo habari za matusi na kejeli amwambie yule kinyago toka hifadhi ya Gombe ambaye muda wote anawatukana Chadema badala ya kuiongelea CCM yake.
 
Makalla si mkweli Livingstone Lusinde(kibajaji) ndo mbunge anaeyeongoza kuwa na matusi na kejeli Tanzania nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…