Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee?
====
Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na jambo moja lililosaidia wao kushinda ni mogogoro inayoendelea kutoka vyama vya upinzani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sababu nyingine alizotaja ni pamoja na kujiandaa vizuri kwa CCM, akisema wapinzani wana miezi na miaka hawatembelei wananchi wakati wao kila kukicha ni kiguu na njia kuhakikisha wanasikiliza wananchi na kutatua changamoto zao.