Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee?
====
Your browser is not able to display this video.
Katika mkutano wake leo Novemba 29, 2024 Amos Makalla ametoa sababu mbalimbali zilizofanya CCM kupata ushindi mnono kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na jambo moja lililosaidia wao kushinda ni mogogoro inayoendelea kutoka vyama vya upinzani.
Sababu nyingine alizotaja ni pamoja na kujiandaa vizuri kwa CCM, akisema wapinzani wana miezi na miaka hawatembelei wananchi wakati wao kila kukicha ni kiguu na njia kuhakikisha wanasikiliza wananchi na kutatua changamoto zao.

Kuna watu hawana aibu hata kidogo! Leo analaumu wapinzani kwamba hawaendi kujitangaza kwa wananchi wakati kila wakienda wanafanyiwa figisu wanazuiwa na polisi,wanapigwa na kufunguliwa kesi za uongo halafu leo mtu anaongea unafiki!