Pre GE2025 Makalla: Wafanyabiashara wa Kariakoo walioandamana hadi CCM badala ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa walikuwa Sahihi, Wote wapewe Vizimba!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi

Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na Serikali

Source: Mwananchi

My take; Chalamila alidhani RC ni mkubwa kuliko Chama 🐼

Pia soma:
 
My take; Chalamila alidhani RC ni mkubwa kuliko Chama [emoji209]

Pia soma:
Ni sahihi kuandamana mpaka ofisi za CCM kwa sababu CCM ndiyo chanzo cha matatizo mengi ya nchi hii.
 
Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi

Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na Serikali

Source: Mwananchi

My take; Chalamila alidhani RC ni mkubwa kuliko Chama 🐼

Pia soma:
Wale wa simu 2,000 walikosea sana kumfuata yule kiazi rc wa dsm. Walitskiwa waende lumumba
 
Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi

Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na Serikali

Source: Mwananchi

My take; Chalamila alidhani RC ni mkubwa kuliko Chama 🐼

Pia soma:
Sasa mbona kauli zao zinahitilafiana? Hawana mawasiliano kwenye maamuzi yao? Tatizo wote wanataka nani aonekane mwenye maamuzi sahh kwenye kadamnasi. WaTanganyika wa 2024 siyo wa 1947
 
Back
Top Bottom