johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atawajua Watoto wa Mjini ππChalamila kagusa kusikogusika
Lete ushahidiCCM Vipande vipande
Mbuzi wanalika hawa ni mambwaChama Cha Mambuzi
Ni sahihi kuandamana mpaka ofisi za CCM kwa sababu CCM ndiyo chanzo cha matatizo mengi ya nchi hii.Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi
Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na Serikali
Source: Mwananchi
My take; Chalamila alidhani RC ni mkubwa kuliko Chama [emoji209]
Pia soma:
Wale wa simu 2,000 walikosea sana kumfuata yule kiazi rc wa dsm. Walitskiwa waende lumumbaMwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi
Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na Serikali
Source: Mwananchi
My take; Chalamila alidhani RC ni mkubwa kuliko Chama πΌ
Pia soma:
Lumumba ndio Mpango mzima πWale wa simu 2,000 walikosea sana kumfuata yule kiazi rc wa dsm. Walitskiwa waende lumumba
Sasa mbona kauli zao zinahitilafiana? Hawana mawasiliano kwenye maamuzi yao? Tatizo wote wanataka nani aonekane mwenye maamuzi sahh kwenye kadamnasi. WaTanganyika wa 2024 siyo wa 1947Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi