Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Makamanda wakubwa 21 waonyeshwa mlango wa kutokea huko Rwanda....
Utulivu wa nchi za maziwa makuu hutegemea utulivu wa mataifa yote....
Huku mwanachama mmoja wa jumuiya ya "EAC" akitishia kujitoa...
Kule kwa majirani na ndugu zetu, kwa makosa tofauti kinyume na nidhamu kuu ya jeshi, wakosaji hao watimuliwa.
JMT MILELE