Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia bando lako angalia hiyo video. Kama hutaki acha. Sikulazimishi.toa maelezo
Tunaongelea la CDM mbagala dada.Jina lililorudi CCM Kigamboni ni la nani?
MakondaJina lililorudi CCM Kigamboni ni la nani?
Yaani mataga ni bure kabisa!!
You are dreaming!!Vyovyote vile Jiwe must go
Hao ni wahuni tu wamepewa buku saba kama za LumumbaTumia bando lako angalia hiyo video. Kama hutaki acha. Sikulazimishi.
Mmekamatika kweli safari hiiTumia bando lako angalia hiyo video. Kama hutaki acha. Sikulazimishi.
Tupo wengi mkuuhaijalishi...kura yangu urais ni kwa TL
Vilio vyenu vitaanza tarehe 29/10/2020!Mmekamatika kweli safari hii
Hao ndiyo wenye saccos dada!!Chadema leo wamenibore kuweka jina la Mrema Segerea wakati alishindwa kabisa kura za maoni.