Makamanda wa Chadema fuatilieni yanayoendelea Kenya siku ya Leo kuanzia saa 6:00 mchana Maandamo yatakapoanza!

Makamanda wa Chadema fuatilieni yanayoendelea Kenya siku ya Leo kuanzia saa 6:00 mchana Maandamo yatakapoanza!

Revolution will not be televised.

Vijana wote wa Tanzania wana cha kujifunza kupitia Ujasiri wa vijana wa Kenya, na sio CHADEMA.
Hilo ndio neno, Sasa huyu anayesema Chadema kama sijamuelewa, Kwani Chadema ndio wanoteseka na huu MFUMO peke yao? Vijana kwa ujumla wetu tuko wapi kuipambania kesho yetu? Au tunadhani hivyo vyama vya siasa vitatuletea hayo tunayoyataka bila sisi kuwa mstari wa mbele? Nadhani ni hoja dhaifu sana.
 
Revolution will not be televised.

Vijana wote wa Tanzania wana cha kujifunza kupitia Ujasiri wa vijana wa Kenya, na sio CHADEMA.
Hii nchi vijana hawajawa tayari kwa mabadiliko ,,mabadiliko hayawezi kuletwa na chadema au chama kingine ila yataletwa na sisi vijana wenyewe tukiamua kwanza.
 
Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali

Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali

Ahsanteni 🐼
Kama Mzee Mbowe a.k.a Mzee wa Asali Bado yupo kitini sahau!!

Mwamba ni msaliti zaidi ya Bashe
 
Back
Top Bottom