johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ha ha 😂 😂 😂 CHADEMA wanafanya matembezi ya amani.Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni 🐼
Kwanini Chadema nasio wengine?Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni 🐼
Makamanda hawana tofauti na spika za sumu ya penye mpaka viwekewe maneno!Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni 🐼
Revolution will not be televised.Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Hilo ndio neno, Sasa huyu anayesema Chadema kama sijamuelewa, Kwani Chadema ndio wanoteseka na huu MFUMO peke yao? Vijana kwa ujumla wetu tuko wapi kuipambania kesho yetu? Au tunadhani hivyo vyama vya siasa vitatuletea hayo tunayoyataka bila sisi kuwa mstari wa mbele? Nadhani ni hoja dhaifu sana.Revolution will not be televised.
Vijana wote wa Tanzania wana cha kujifunza kupitia Ujasiri wa vijana wa Kenya, na sio CHADEMA.
Wale vijana wa Kenya wana jina lao. Wamezaliwa miaka ya 90 na kuendelea, ni balaaRevolution will not be televised.
Vijana wote wa Tanzania wana cha kujifunza kupitia Ujasiri wa vijana wa Kenya, na sio CHADEMA.
Wanaitwa GenZWale vijana wa Kenya wana jina lao. Wamezaliwa miaka ya 90 na kuendelea, ni balaa
Hatari sana vijana wale.Wale vijana wa Kenya wana jina lao. Wamezaliwa miaka ya 90 na kuendelea, ni balaa
Hapo Sasa.Maisha magumu wanakutana nayo chadema au wananchi?
Hatuwezi kuwaiga?Kenya ni Kenye na sisi ni sisi
True!! tutakapojitambua ndo hivi vitu vitawezekana,Maisha magumu wanakutana nayo chadema au wananchi?
Hii nchi vijana hawajawa tayari kwa mabadiliko ,,mabadiliko hayawezi kuletwa na chadema au chama kingine ila yataletwa na sisi vijana wenyewe tukiamua kwanza.Revolution will not be televised.
Vijana wote wa Tanzania wana cha kujifunza kupitia Ujasiri wa vijana wa Kenya, na sio CHADEMA.
CCM wana masoko na maduka yao wanapata punguzo la asilimia 50.Maisha magumu wanakutana nayo chadema au wananchi?
Kama Mzee Mbowe a.k.a Mzee wa Asali Bado yupo kitini sahau!!Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni 🐼
Kuna watu hawatakuelewa ulicho maanishaMaisha magumu wanakutana nayo chadema au wananchi?