Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

Mama yako umemueleza haya?
 
Tukikwambia wewe ni Zuzu uwe unaitika Kwa sauti.
Aliyekwambia ruzuku ya Chama inatokewa kutokana na Wabunge wa viti maalum alikudanganya Kwa vile alikuona Zuzu.
 
Mchezo mzima uongozi wa CDM wanaujua ila wanawafool wanachama wao. Wakina Mdee wataendelea na ubunge hadi june 2025 bunge litakqpovunjwa.
Kwanza Baraza kuu litakutana baada ya muda mrefu toka hukumu itoke ili kuvuta muda kisha baada ya kutoa uamuzi probably karibia june 2024 Wakina Mdee watarudi mahakamani, kesi itatajwa kidogo mara moja au mbili kisha mahakama itaenda likizo hadi Februari 2025. Kesi itaanza kusikilizwa March au April 2025 na hadi bunge linavunjwa itakuwa haijaisha. Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa watahamia ACT Wazalendo na kugombea ubunge

Kiufupi mchexo mzima ulipangwa tangu mwanzo na akina Mdee na uongozi wa CDM .
 
We bwege Mbowe alikaa selo baada ya kuvunja sheria za nchi. Yule mkabila amtetee nani. We kweli mwendawazimu
Sheria gani za nchi alizovunja?,elewa DPP ali withdraw case mahakamani ,court gani ilimtia hatiani Mr.Mbowe?,ukabila unao wewe kutokana na fikra zako finyu angalia safu ya uongozi wa chama dola, royal families ni zile zile from one generation to another na ndio wanaokula pie ya taifa, tajiri mkubwa wa iringa anatajirika mno kutokana na pembe za tembo na faru (kenge mmoja humu anashauri apewe ubunge wa iringa),mlala hoi mmoja mwanamke anakamatwa na nyama eti wanasingizia ni ya swala ,anapelekwa jela 30yrs!,nchi imejaa mazuzu hasa hawa middle class
 
Mbowe ni mfanyabiashara na sio mwanasiasa cha msingi anangalia pesa ataingiza pesa kiasi gan
 
Acha kumsemea mtu maneno asiyoyasema huo ni upumbavu wewe kamanda wa chama gani kwani Chadema ulikwishatimuliwa kitambo Huna tofauti na Madaktari feki wanaokamatwa Muhimbili

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…