Joyeuse
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 275
- 182
Nina taizo la makamas meupe kutokea puani. Nimetumia dawa za hospital lakin hali si shwari. Koo haliniumi wala haliwashi. Na makamas yanatoka safi bila damu. Kwakuwa nilikaa kwenye bardi kali . Baadh wananiambia kuwa hali itaisha tu ..kwani hiyo ni barid inasumbua.huwa yanashuka na kuganda kooni yananifanya nikohoe hadi koo linachoma.
Halaf kuna muda huwa naihis hii hali hadi kunako sikio.
Nisaidien tiba asili jamani hata kama ya hospital kama bado sijaitumia nitaitumia . Hali hii imenichosha. Msaada wenu madokta
Halaf kuna muda huwa naihis hii hali hadi kunako sikio.
Nisaidien tiba asili jamani hata kama ya hospital kama bado sijaitumia nitaitumia . Hali hii imenichosha. Msaada wenu madokta