Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa.
Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati.
Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha mabomba ya mradi wa mafuta toka Uganda.
Hapohapo nikajiuliza huu weledi wa viongozi wetu kama Majamba, unatoka wapi kwa makandarasi wazawa wakati mbele ya macho yao miradi ya reli SGR na mradi wa bwawa la umeme Stiglers mpaka leo ziko nyuma ya wakati, tena kwa kiwango kikubwa!
Hatusemi basi wale makandarasi wazawa wacheleweshe miradi, hasha, lakini viongozi wengi hawapati briefing ya wataalam wasimamizi waliopo kwenye mradi.
Wao huishia kutoa lawama tu ili wasikike na vyombo vya habari.
Hili halikubaliki.