Pole kwa familia nzima ya Makamba, Mungu awape faraja na kuwatia nguvu katika hiki kipindi kigumu.
Pia, Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi marehemu.
Pole sana Mzee Makamba na familia kwa ujumla kwa kufiwa na kijana mpendwa Kimweri Makamba. Tuzidi bila kuchoka kumuombea kwa Mungu ili ampe hifadhi katika ufalme wake, Amen