Makamba aitwa fisadi

Peasant

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Posts
3,949
Reaction score
698
Waheshimiwa wana JF, nimevutiwa na hiki kituko cha Makamba kuzomewa na kuitwa fisadi na vijana wa kidato cha tano na sita. Hii ni dalili njema kuonyesha kwamba kuna mwamko wa kweli katika jamii against mafisadi. I just can't wait to hear some more stuff from all over the country against the kingpins of ufisadi.
Hasivyokuwa na soni mzee huyu kaamua kunyumbulisha maana ya neno fisadi kuwa ni "MZINZI"! ili kudivert maana halisi waliyokusudia vijana wale. Kazi ipo, kama huyu ndo katibu mkuu wa chama tawala!



Wanafunzi wamuita Makamba fisadi


na Joseph Zablon na Methord Milanz, Mkuranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…