makamba akimbia kiticha ndege!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
hii ni hali ya kutojiamini mh makamba katibu wa chama cha majambazi
nimetua toka mwanza dk kumi zilizopita mh makamba akiwa kiti cha mbele kwenye ndege ya airtanzania ,akaja mh tundu lisu mzee akageuza sura alipofika mh mdee akawa karibu nae mzee imani ikamshinda akamua kuama siti
tatizo lake asomi nyakati kila mara aoni mwenzake msekwa aisoma dira
pole mzee wetu mtanzania wa jana siyo yule wa leo hii

kila la kheri ukombozi ndio umeanza
 
Mbona atamaliza viti kwenye ndege? CCM kitu cha kwanza wamweke pembeni Makamba na watu wa aina yake[Hiza & co],jipangeni upya,pamoja na vitisho vyote kwamba nyie peke ndio mnaoweza kuleta maendeleo wana Tarime wameona bora umasikini kuliko nyinyi hapa kuna kitu walitaka kuwaambia[kama mwenyekiti anavo ambiwa Mbeya].
 
makubwa haya,kwanini asinge omba kiti cha co-pilot kabisa

NDUGU YANGU SI ANGEUA WATU HUYU!!!KIJANA MDOGO TU KAPRESHA KAMEMSHINDA KAKIMBIA SITI AKIONA NDEGE INAVYOKATA KONA SI ATANGANGANIA CONTROLLER
MWACHE TU AFIE KITINI!!!!!NILIJUA ANGEMBUSU MH MDEE::KAAMA MWANAMKE JASIRI KUACHA NDOA YAKE NAKURUDI NA USHINDI MAKAMBA USIFANYE HIVYO TENA BABU KUWA UYAONE
 
Mama Mia, mbona hii ni thread uliyoianzisha mwenyewe kwa jina lako? iweje ukachangia tena huku. two faces of mama mia kwi kwi kwi!
 
Mama Mia, mbona hii ni thread uliyoianzisha mwenyewe kwa jina lako? iweje ukachangia tena huku. two faces of mama mia kwi kwi kwi!

Nimecheka sana mambo ya multiple ids, anaweka hoja na kuchangia mwenyewe mhhh hajatulia maneno yale yale, copy n paste mwanahalisi = mama mia
 
jmani nimesoma nikaona mwandishi ajaweka kichwa vibaya
 
jmani nimesoma nikaona mwandishi ajaweka kichwa vizuri tumsaidie wenye taaluma ya uandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…