Semahengere JF-Expert Member Joined Nov 29, 2020 Posts 1,186 Reaction score 1,966 Sep 30, 2021 #1 Nachelea kusema hivi ila hakuna jinsi. Generator zinanguruma huku Arusha Hadi mtu unachanganyikiwa Na hili limetokea tu baada ya huja Jamaa kuteuliwa kulikoni tunaomba kujua Hivi kweli mnataka kuturudisha kule?
Nachelea kusema hivi ila hakuna jinsi. Generator zinanguruma huku Arusha Hadi mtu unachanganyikiwa Na hili limetokea tu baada ya huja Jamaa kuteuliwa kulikoni tunaomba kujua Hivi kweli mnataka kuturudisha kule?
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Sep 30, 2021 #2 Si alitoa week mbili kwa Regional Managers wa Tanesco umeme usikatike tena la atakuwa anawatumbua?
holy holm JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 4,793 Reaction score 9,101 Sep 30, 2021 #3 Chaliifrancisco said: Si alitoa week mbili kwa Regional Managers wa Tanesco umeme sikatike tena la atakuwa anawatumbua? Click to expand... hayo matamko tushayazoea Chief Hangaya kipindi cha siku za mwisho za mwendazake alisema kauli hiyo hiyo. Wanatuchukulia poa sana
Chaliifrancisco said: Si alitoa week mbili kwa Regional Managers wa Tanesco umeme sikatike tena la atakuwa anawatumbua? Click to expand... hayo matamko tushayazoea Chief Hangaya kipindi cha siku za mwisho za mwendazake alisema kauli hiyo hiyo. Wanatuchukulia poa sana
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 30, 2021 #4 Arusha ipi unaizungumzia?!
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Sep 30, 2021 #5 Duh kusema ukweli umeme hali ishakuwa tete
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Sep 30, 2021 #6 Mmmmmmmm
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Sep 30, 2021 #7 Hii nchi ilishawekwa mikononi mwa watu. Ukiwa mzalendo unaishia kuumia tu. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. JamiiForums mobile app
Hii nchi ilishawekwa mikononi mwa watu. Ukiwa mzalendo unaishia kuumia tu. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. JamiiForums mobile app