MZEE SERENGETI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 214
- 10
Ndugu zangu wana Jamii inasemekana kwamba makamba wikendi hii amewasiri Mkoani Arusha kwa lengo la kukinusuru chama chao ambacho kiko katika hatua za mwisho kuondoka IKURU,Chanzo changu cha habari kinasema alishindwa pakuanzia kwa jinsi watu walivyo kuwa wakimwambia waziwazi kwamba wamechoka na CCM.Kama unaufahamu juu ya hili Ongeza dondooooo.