Makamba ashindwa kumjibu mama Kilango

unajua niliongea kwa hasira sana pale hata data muhimu zikawa zinaniponyoka

Msanii kwanini uwe na hasira rafiki yangu!!!!!!!!! una ndugu yeyote kati ya watuhumiwa wa ufisadi??? kama sio hivyo huyu mamam mbona anaongelea vitu vya msingi na vya kulenga maslahi ya taifa letu kwanini tuone kama mtego,sidhani kama hiyo ni mantiki.acha huyu mama aseme kwa ujasiri wote alionao kuliko hata wabunge wanaowakilisha watu wao ili nchi ifike mahali fulani pa mafisadi kuwa na hofu na mali za Taifa
 
unajua niliongea kwa hasira sana pale hata data muhimu zikawa zinaniponyoka

Msanii kwanini uwe na hasira rafiki yangu!!!!!!!!! una ndugu yeyote kati ya watuhumiwa wa ufisadi??? kama sio hivyo huyu mamam mbona anaongelea vitu vya msingi na vya kulenga maslahi ya taifa letu kwanini tuone kama mtego,sidhani kama hiyo ni mantiki.acha huyu mama aseme kwa ujasiri wote alionao kuliko hata wabunge wanaowakilisha watu wao ili nchi ifike mahali fulani pa mafisadi kuwa na hofu na mali za Taifa
 

msanii,
acha kuimwonea huyu mama kilango, je unataka awe bubu kama akina mama ana abdalah/

si kweli kuwa aliwahi kuwa waziri katika serikali ya mkapa, ninachojua alipigania ubunge wakati fulani, nadhani jimbo la ubungo akatupwa chali na kura za maoni za ccm, ndipo akapewa ubunge wa kuteuliwa

ukitaka kujua umuhimu wa huyu mama nenda katika jimbo lake la same mashariki ukazungumze haya unayoandika hap
 
Mimi kwa kutokujua kwangu nililipokea kama lilivyo, yaani nilikubali kwamba Madam alishakuwa Waziri. Hilo ndo goli.
Kwa namna ulivyojieleza, nimekuelewa.....ukereketwa juu ya nchi yako. Nakubaliana nawe kabisa - nchi sasa ni ya wachache. Maadili ya viongozi ni kama hayapo. Mwananchi wa kawaida amebaki kuwa ngazi ya kupandia ya mafisadi. Inauma sana, hasa ukiangalia jinsi hali ya maisha ya mTZ wa kawaida inavyozidi kuwa duni. Ndoto za 'maisha bora' zimezimika. Mimi binafsi sasa hivi sipendi hata kusikiliza hotuba za viongozi wetu, maana ni hadaa tupu kwa mwananchi. Nimekata tamaa (najua sitakiwi kufanya hivyo). Naona nisipindishe mada....endeleeni na mada ya 'Tarik Aziz'.
 
sina ndugu ila nachelea kwa mtu kusaka umaarufu kupitia real vita. ni kwamba aoneshe mpaka sasa amefichua nini zaidi ya kudandia hoja?
hebu mkuu tujuze umuhimu wake jimboni.
ahsante mkuu nimekusoma
 
huyu mama anaporopoka na kuacha uchi wana ccm waliojificha siku nyingi anatusaidia wote pamoja na wamarekani.
japo hajawahi kuwa waziri,
ni mbunge machachari kwa kurupuka kwake hivyo hivyo.
anasaidia ila si mtu wa kutegemea kuja na kitu cha maana licha ya mabomu,
kwa kweli she is dedicated in her own capacity, hongera mama kwa kupewa zawadi, tuko na wewe all the way,
kwani hao ma intelectuals wanawake wako wapi? wanafanya tu kazi zao za kawaida walizoombea kazi, kwa vyeti vyao, they never think out of the box.

Go mama go!!!
 
msanii,

maneno yako mazito, kwani umefika wakati wananchi wamuelewe vizuri anna kilango malecela. kwa kifupi anna alikuwa mhasibu wa shirika la ndege gulf air. waarabu wa gulf air wakamfukuza kazi kwasababu ya kuiba pesa za shirika. baada ya hapo akaanzisha biashara na kuingia kwenye siasa za umoja wa wanawake.

anna ana ugomvi wa miaka mingi sana. sitautaja ugomvi huo kwa kulinda heshima ya wananchi wa same mashariki. siasa anazofanya sasa hivi ni muendelezo wa ugomvi huo.
 

Hapa ni jamvini
wala usikwazike kuleta DATA za mama kamanda huyu ili kama inawezekana arudishwe kwenye mstari wa maadili.
Hii ugomvi imekaa kiumuhimu hii. hebu tueleze mgomvi wake ni nani haswa.
Pia kumbe hata mtaji wake wa biashara aliupata KIFISADI basi kweli kazi ipo.
 

...Hivi MWAFRIKA WA KIKE yu wapi vile??
au bado ktk fungate???
 
Sonara
Jiulize kwa nini akapewa na wamarekani ile zawadi ya mwanamwali wa shoka kwa nini asipewe marehemu Chifupa mabaye alitoa hata maisha yake kutumikia UMMA?
Kamanda, hicho apo juu ni kichekesho.
 
Mkubwa huyu mama hajawahi kuwa Waziri enzi za Mkapa,hizi tuzo hutolewa kila mwaka nafikiri Bi Helen Bijo Kisimba ndio alikuwa wa kwanza kupata hiyo tuzo Amina Chifupa amefariki karibu miaka 3 so kwa mwaka 2008 Anne Kilango alistahili kubeba hiyo tuzo
 

majungu hayo na wivu tuache. Tujenge hoja kama wachambuzi.
 
Haya ni vema yakakaa wazi ili kupata picha halisi ya Mama Anna na pengine kulinda heshima yake kama data zitakuwa za kupikwa kumchafua.
 

Wewe kweli msanii 🙂
 
Ningeshangaa kama Makamba angeweza kumjibu Anna Kilango-Malecela. Hana ubavu huo. Kwanza Makamba siku hizi kutokana na uchemfu wake ameambiwa kabisa asipayuke na media.

Tunaosema eti tuzo ya Anne ni mtego, sikubaliani kabisa. She deserves. Hata kama ssm watamtosa ni kwa kuwa wanamwogopa kwa mabomu yake na si kwa utendaji. Mama ni mchapa kazi. Nombeni wekeni diary zenu vizuri nuukuu kuwa "Tarehe 21/04/2009 saa 12:40 jioni Maane alisema Anne Kilango bado atatetea kiti chake cha ubunge 2010 na ataendelea kuwa mbunge wa Same Mashariki". Alamsiki.
 


heheheeeeeeeeeeee; tumpe amina kwasababu kafa? i like Aimina she represented ambitious you tanzania [hasa pia kwa yeye kuwa mwanamke] lakini labda kwa kuwa pia tabibu mzuri kwa baadhi ya majamaa yenye depression lakini i think kama kupewa angepewa mwaka jana na si mwaka huuu... tuangalie time factor

kuhusu tibaijuka sidhani kama ana-desereve; maana naona slums zinaongezeka na yeye kazi ku-publish vijarida na ku-attend vijikao... kwa taarifa yako huyu mama hata data entry wake anaitwa mwesiga na alikuwa anatoka dar kwenda kuweka data ambazo UN walikuwa na assistants wangeweza... ukitaka kula kuku usimchunguze

ANNE KILANGO DESERVED IT NA WAMAREKANI SI WAJINGA, THEY ARE REVAMPING THEIR IMAGE ALL OVER THE WORLD AND THEY DO IT IN A RIGHT WAY

BRAVO MAMA
 
anna kilango hajafanya jambo lolote la maana jimboni kwake. jimbo lake ndiyo la mwisho ktk elimu kwa mkoa wa kilimanjaro. uchaguzi ujao hawezi kupita labda akagombee kwa mumewe jimbo la mvumi. kuna wananchi wawili tayari wameombwa kugombea same mashariki. mmoja ni proffesor na mwingine ni mtumishi[sitataja cheo] wa muda mrefu serikalini. pia yuko mama daktari aliombwa lakini amekataa.
 
FMES please! Bangusule ameanza hoja yake ile ile ya miaka ile ile
 
masanilo,
unabisha kwamba anna kilango hakuiba pesa gulf air matokeo yake akafukuzwa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…