anna kilango hajafanya jambo lolote la maana jimboni kwake. jimbo lake ndiyo la mwisho ktk elimu kwa mkoa wa kilimanjaro. uchaguzi ujao hawezi kupita labda akagombee kwa mumewe jimbo la mvumi. kuna wananchi wawili tayari wameombwa kugombea same mashariki. mmoja ni proffesor na mwingine ni mtumishi[sitataja cheo] wa muda mrefu serikalini. pia yuko mama daktari aliombwa lakini amekataa.
unabisha kwamba anna kilango hakuiba pesa gulf air matokeo yake akafukuzwa kazi?
masanilo,
kwani kila mwizi amekamatwa na kufungwa jela?! kwani kila fisadi amepelekwa mahakamani? nakwambia anna kilango malecela alifukuzwa kazi gulf air kutokana na makosa ya wizi wa pesa.
anna kilango hajafanya jambo lolote la maana jimboni kwake. jimbo lake ndiyo la mwisho ktk elimu kwa mkoa wa kilimanjaro. uchaguzi ujao hawezi kupita labda akagombee kwa mumewe jimbo la mvumi. kuna wananchi wawili tayari wameombwa kugombea same mashariki. mmoja ni proffesor na mwingine ni mtumishi[sitataja cheo] wa muda mrefu serikalini. pia yuko mama daktari aliombwa lakini amekataa.
MTM,
masuala ya ndoa usiguse kabisa. ukumbi huu upo wazi hata kwa watoto wadogo. kuna hoja iliyojadili suala la elimu katika wilaya ya same. tafuta muda uipitie kuna mengi yamesemwa huko.
masanilo,
sasa unabisha wakati hujui hata anna kilango alikuwa ameajiriwa kama nani gulf air?
MTM,
bila samahani mkuu mkubwa. penye wengi hapaharibiki neno. achana na safari anza kunywa dengerua.
Sonara
Makamba anajua nani gangwe ndani ya chama.
Kwa taarifa yako mama Anne kilango ni mtego mwingine ambao jamii itauvaa mkenge. Nauliza ameongoka lini huyu mama? alikuwa waziri ktk kabinet ya mkapa na sijui kuna nini alifanya mpaka sasa. pia ninachunga na kuunganisha sana dots ktk kauli zake hasa bungeni. kuna orcle imejificha ktk utanashati wake. Anasema sana ila kuna vitu halisi vinamiss ktk kauli zake. kuna missinformations nyingi sana anazopenyeza kupitia speeches zake. Jiulize kwa nini akapewa na wamarekani ile zawadi ya mwanamwali wa shoka kwa nini asipewe TIBAIJUKA au marehemu Chifupa mabaye alitoa hata maisha yake kutumikia UMMA?
Nyie nyie kumbukeni kuna mti unaitwa MKENGE na huwa unaota pembezoni mwa njia. chunga sana baada ya kuchunguza.
Mzee Bangusule? Mama anakuumiza kichwa sana nini/
Tatizo hasa ni nini? Ndoa ni nini? Ndio alishawai kuolewa a kuachika na Charles Nyange sasa hiyo ni nini? Hacha kung'ang'ania vitu visivyo na manufaa kwa taifa, sijui Gulf Air mara ndoa, hao waarabu wamfunge basi.
Mwache mwana dada apete hata kama unamwona debe tupu at least yeye anapiga kelele, sio kama kina yakhe kulala bungeni....
,fiksimani,
hata kwenye mkutano mkuu alimvaa mkapa kuhusu kuondolewa kwa jina la malecela wakati mzee mwenyewe alishakubali yaishe. tatizo la anna kilango ni kwamba hana uwezo wala upeo wa kuchochea na kusimamia maendeleo ya jimbo letu.
- Sasa imagine huyu ni mpiga kura wakati wa uchaguzi, hata siasa ya taifa lake hajui lakini maneno mengi ya kuokota okota ambayo yeye mwenyewe huyaita gullibe gullibe, bwa! ha! ha! ha! what a joke!
FMES!
............naanza kupata wasiwasi kuhusu magnitude ya hii kitu inayoitwa ufisadi,inaonekana wenzetu wengine wanamaono tofauti..............Sonara
Makamba anajua nani gangwe ndani ya chama.
Kwa taarifa yako mama Anne kilango ni mtego mwingine ambao jamii itauvaa mkenge. Nauliza ameongoka lini huyu mama? alikuwa waziri ktk kabinet ya mkapa na sijui kuna nini alifanya mpaka sasa. pia ninachunga na kuunganisha sana dots ktk kauli zake hasa bungeni. kuna orcle imejificha ktk utanashati wake. Anasema sana ila kuna vitu halisi vinamiss ktk kauli zake. kuna missinformations nyingi sana anazopenyeza kupitia speeches zake. Jiulize kwa nini akapewa na wamarekani ile zawadi ya mwanamwali wa shoka kwa nini asipewe TIBAIJUKA au marehemu Chifupa mabaye alitoa hata maisha yake kutumikia UMMA?
Nyie nyie kumbukeni kuna mti unaitwa MKENGE na huwa unaota pembezoni mwa njia. chunga sana baada ya kuchunguza.
Mkulu ES- Sasa imagine huyu ni mpiga kura wakati wa uchaguzi, hata siasa ya taifa lake hajui lakini maneno mengi ya kuokota okota ambayo yeye mwenyewe huyaita gullibe gullibe, bwa! ha! ha! ha! what a joke!
FMES!