SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Its funny how you chose to ignore my two detailed posts (that have answered your question) and picked the one that was not even directed to you.
Anyways babu. To each on his own-
Zile billioni 29 zilizochotwa ikulu nadhani zitatumika pia kuhakikisha kijana fisadi January Makamba anarudi ikulu
Mangi, hivi wewe ukigombea/uitangaza nia, baba yako au mama yako hatakusaidia?
Ha ha ha ... sidhani kama January angefika kokote kule.
Ukizaliwa fisadi, unakuwa kifisadi, unasomeshwa kifisadi, unatetea ufisadi, na utakufa fisadi.
This is pointless? What are the reasons ambazo wewe unazitumia kusupport argument yako? Mwanzoni wapo waliosema kwamba hakubaliki jimboni kwao, sasa ameshinda mmebadilisha statement mnasema kwamba no sio tuu yeye kukubalika jimboni kwao, bali wazazi wake wamechangia.
Hizi ni tabia za kibaguzi ambazo inabidi tuzipinge. Nilishasema miaka hiyo na nitasema leo, January ni mmoja wa Watanzania wenye uwezo wa kuongoza. He run a smart campaign ambayo imeweza kumpa landslide winning.
On the other side of the coin, tungoje atakapo anza kazi kabla hatujaanza kulaani na kuuita watu majina yasio na msingi wala maana.
Mwafrika said:Ha ha ha ... Selemani bana. Pesa za Rostam Azizi sio mchezo
Ila bila kuwa na last name ya Makamba, sidhani kama January angefika kokote kule.
Ukizaliwa fisadi, unakuwa kifisadi, unasomeshwa kifisadi, unatetea ufisadi, na utakufa fisadi.