Steve,
Point yangu ni kwamba kama audience yake ya kwanza ni Watanzania, angeandika Kiswahili. Baadaye, kama wale wa nje wanataka kujua falsafa yake na matatizo ya Bumbuli kuna muda wa kutosha kufanya tafsiri kwa Kiingereza. Lakini hapa naona wa nje ni muhimu zaidi ya wa ndani.
Well done January! I think he is a hard working person and his involvement in Tanzania politic circuits makes him be even more qualified for the sought after role. Namtakia mafanikio mema kwenye kampeni.
Steve Dii
... Iweje mtu ambaye ana-hang na ku-dine na wengi wanaopelekea Taifa letu liendelee kusota hapo hapo awe tofauti?! Tuwapinge vipi wahenga wengi na usemi wao wa mtoto wa nyoka ni nyoka?!
2. Naamini kwamba, baada ya kufanya kazi kwa karibu na Rais Kikwete, naweza kuchukua mfano wake kuitumia siasa vizuri zaidi kuitumikia nchi yangu kwa namna pana zaidi. Naamini naweza kushirikiana na vijana wenzangu, wa CCM na wasio wa CCM, kuifanya siasa iwavutie vijana wengi zaidi na ionekane kama ni sehemu ya utumishi wa umma.
Asilimia 72 ya Watanzania wana umri wa chini ya miaka 29. Mwaka huu, vijana waliozaliwa mwaka 1992 watapiga kura. Letu ni taifa la vijana. Inabidi ifike mahali vijana sasa wajitokeze kwenye nafasi za uongozi ili sura ya uongozi wa nchi ifanane na hali halisi ya nchi. Tutakapojitokeza wachache na tukafanikiwa, hata vijana wadogo zetu nao watakuwa na hamu ya kufuatilia siasa na tutakuwa hatujawapoteza katika kujihusisha masuala ya nchi na wengine wengi nao watajitokeza kwasababu wataona inawezekana. Hata hivyo ujana peke yake sio sifa ya uongozi.
"Naamini uzoefu wangu kama Msaidizi wa Rais, kwa kuzunguka na Rais nchi nzima mara mbili, wakati anaomba kura na baada ya kuchaguliwa, ambapo nimelazimika kusoma ripoti za maendeleo za Wilaya karibu zote, ambapo, kama Msaidizi wa Rais, nimehudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, pamoja na mikutano mingine mingi ya kimataifa na ndani ya nchi, utanisaidia sana kuwa Mbunge mzuri"
Naamini uzoefu wangu kama Msaidizi wa Rais, kwa kuzunguka na Rais nchi nzima mara mbili, wakati anaomba kura na baada ya kuchaguliwa, ambapo nimelazimika kusoma ripoti za maendeleo za Wilaya karibu zote, ambapo, kama Msaidizi wa Rais, nimehudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, pamoja na mikutano mingine mingi ya kimataifa na ndani ya nchi, utanisaidia sana kuwa Mbunge mzuri. Naingia kwenye siasa nikiwa nimejifunza mengi kuhusu Serikali na jinsi inavyofanya kazi, nikiwa nimejifunza jinsi baadhi ya maeneo nchini yalivyopiga hatua za maendeleo na mbinu gani wametumia na wale ambao bado hawajapiga hatua ni mambo gani hawajafanya. Nitatumia elimu hii na uzoefu huu kushirikiana na watu wa kwetu Bumbuli kusukuma maendeleo mbele.
Ukisoma kidogo tu maelezo yake utagundua kuwa January Mkamba ana uwezo mdogo sana wa ushawishi kisiasa,Maelezo yake kuhusu Bumbuli kaandika kama Mtendaji ili hali anagombea tu Ubunge ambayo ni nafasi ya kisiasa huku akishindwa kutoa elezo hata moja vyanzo vyake vya pesa ktk kuinua sekta za kiuchumi jimboni humo ni zipi.Kosa lingine la awali alilo lionyesha ni kuwa ukichambua vyema maelezo yake ameandika kama vile ni chama cha Upinzani ndicho kilikuwa kinashikilia jimbo la Bumbuli kwa miaka yote toka uhuru.Mwanasiasa makini hawezi akalaumu kila kitu kilichofanywa na watangulizi wake kutoka chama hicho hicho!
Kimsingi January is another looser who is typical pretending as new Masiiah for Bumbuli's Constituents lkn hamna lolote la maana alilioonyesha hata sasa.Bumbuli's hawawezi kuinuka kiuchumi kwa sababu tu Mbunge ajaye yupo karibu na Rais,bali aeleze ametumiaje nafasi yake ya kukaa karibu na Rais kwa miaka hii 5 kumuinua mwana Bumbuli?Au ataanza harakati za kumuinua mwana Bumbuli akishinda Ubunge?This is very awkard lesson indeed!
Kama ndiye yeye mwenyewe kaandika muktasari wa maelezo haya ya awali kuhusu Bumbuli basi tuna safari ndefu sana za kwenda kuhusu hawa wabunge wetu watarajiwa vijana,maana maelezo yake hayo hayana tija hata moja kwa Bumbuli kwani hajaeleza hata sehemu moja atafanya nini kigeni na alichofanya Mzee Shelukindo zaidi ya kusema"hili nitakaa nao wana Bumbuli tuongee",what the hell is this?
watu wengine wanatangaza nia bila ya kuwa na hoja nzito...
1.Hivi mtu ili uweze lisaidia taifa lako lazima uwe mbunge?
2.Kazungumza mengi sana,eti Bumbuli barabara hazipiti?watu anashindwa kufanya mazishi.Je wakati alipokuwa na anaendelea kuwa Msaidizi wa Rais alishindwa vipi kumshauri Rais ili barabara zijenngwe?
3.Kuwa mbunge unakuwa mbali na Rais pamoja na Baraza la Mawaziri(ikiwa kama hajahaidiwa uwaziri?ndiyo ..)Je atamshauri vipi Rais ili atekeleze maendeleo ya Jimbo la Bumbuli.
4.Kuna jambo moja la hatari sana lisipoangaliwa kwa undani litaleta utawala wa Kiimla (rejea swali la Mwanakijiji,atagombea wapi?)
Ningekuwa naweza kumshauri na akashaurika ningemwambia aendelee kumshauri Rais ili alete maendeleo kwa watanzania wote.
Mie sitaki ubunge nataka kazi ya kumsaidia Rais kwa kumweleza ukweli..Ndiyo mnaojua mnasema anauwezo wakuongoza..Msahurini tu..Go Makamba
...........well, we are addicted to mediocrity!!Blah bla blah blah blah blah blah blah blah..
The same old shyt different day.
Naona maandalizi ya mediocre JK kumpa uwaziri huyu Makamba.
Twafwa!
as per in red above, sehemu nzuri ya kuleta mabadiliko ya ukwei katika nchi yeyote hasa Tanzania ni Bungeni maana ndiyo watunga sera na sheria zinazoendesha nchi na kwingineko