Elections 2010 Makamba chaguo la mungu kuiangamiza CCM?

Mi nataka ife iwe kwa ujinga wa Makamba au kwa werevu wa JK...na ifilie mbali uko!
 
  1. kukataza midahalo
  2. kukubali wanachama wapya wapige kura za maoni
  3. kususia kampeni za JK
  4. kuwa msshauri wa JK kupitia Mtoto wake (January)
  5. Mropokaji mzuri
 
''Eti anajifanya anajua saaana kunukuu vitabu vya dini! Sijui Kikwete kamtoa wapi huyu Msambaa na wacha aimalize kabisa hiyo ccm!:A S 13:
 
Ni wabia katika nyanja za uwanga na uchawi
 
''Eti anajifanya anajua saaana kunukuu vitabu vya dini! Sijui Kikwete kamtoa wapi huyu Msambaa na wacha aimalize kabisa hiyo ccm!:A S 13:

hicho ni Chama cha kijeshi, JK ni Luteni Kanali Mstahafu, Makamba ni Luteni Mstaahfu, Kinana ni Brigedia Mstaafu, Komba ni Capteni na wengine wapo wengi mno humo chamani na serikalini, na mwisho wa yote MNADHIMU AMEAMUA KULIVALIA NJUGA KUKIOKOA CHAMA
 
Bila kumsahau Mnajimu mkuu na walinzi wa kikwete wasioonekana nao wakianza command zao patachimbika yetu macho lakini wadanganyika (WATZ) HATUDANGANYIKIIII NG'OOOOOO:rain:
 
Back
Top Bottom