Lakini hata Katibu mustaafu wa CCM kulikoni? Naona amaanza kulost huko Iringa, naye vipi mbona kazimia? au ndio hivyo waswahili wanaita kuporomoka kisiasa!
Makamba nafikiri alikuwa bado anajiweka sawa hasa kujiimarisha na uongozi mpya wa sasa ambao una changamoto kali. Nina imani tutamsikia tu. Nafikiri leo au kesho ananguruma Zanzibar. Juzi alikuwa kwenye mkutano wa muafaka wa ccm na cuf huko bagamoyo. Ninajua bado anayakusanya makombora. Kikwete anampenda sana yule mzee.