Makamba: Mradi wa JNHPP upo nyuma kwa siku 477 (yaani mwaka na zaidi ya siku 100)

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?!

Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?!

Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa akiwekeza ma trilioni ya pesa mengine akikopa kwenye mabenki ya kibiashara huko Duniani ili tu ule mradi ukamilike aje kupata misifa yule baba angekubali vipi project ile iwe nyuma kwa kiwango kile?!

Sikia Makamba ishia hapohapo kunidanganya hasa mimi.Endelea kumdanganya huyo huyo mpiga mitama watu bwana Supika wa bonge la Idodomya.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA
 
Yaani natamani kusema PUMBER-fu, vile tu Mungu kaficha mambo mengi juu ya mwanadamu otherwise nyie binadamu mnaotafuta heko kwa kujitanabaisha waelevu kuliko wengine mngeonja joto la aridhi.

Ngoja twende safari ina mwisho siku zote, hata ukishukia njiani maana yake umefika mwisho wa safari yako.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
CCM mna vituko siku 100 ni mwaka?

Yale yale ya kuambiwa siku ina saa 48
 
Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?!

Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?!

Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa akiwekeza ma trilioni ya pesa mengine akikopa kwenye mabenki ya kibiashara huko Duniani ili tu ule mradi ukamilike aje kupata misifa yule baba angekubali vipi project ile iwe nyuma kwa kiwango kile?!

Sikia Makamba ishia hapohapo kunidanganya hasa mimi.Endelea kumdanganya huyo huyo mpiga mitama watu bwana Supika wa bonge la Idodomya.
Makamba alisema awamu ya sita ilipoingia madarakani ilikuta mradi huo umechelewa kwa siku 477. Waombe mods wasahihishe title isomeke siku 477 badala ya 100.
 
Alishakufa huyo muongo ambaye hata umeme kipindi chake ilikuwa ni breaking news ukikatika ajabu kipindi hiki cha wakweli kina Makamba umeme kukatika hovyo hovyo wala si habari ngeni tena
Umeme ulikua unakayika,wakaniunguzia Samsung yangu
 
Itakuwa vizuri kumwandama makamba kwanini umeme unakatika ovyoovyo kwa mifumo ya vyanzo vilivyopo.Hii itakuwa hoja ya msingi sana.

Bwawa JNHP kumlazimisha aseme kama watangulizi wake tutakuwa hatuko sahihi.
1.Rais ana vyanzo vingi vya taarifa kutoka kwenye mradi,malipo,wahujumu nk
2.Ni ngumu kujua ukweli wa matamko ya awamu ya 5&6 kama mkataba unakwenda kama ulivyo.
3.Matamko ya Mjengoni nikufurahisha waibiwa kura.
4.Ushauri kwa Makamba,punguza ukweli ulionao katika wizara kwa uliyoyakuta.
Jikite kuhakikisha umeme uliopo unawafikia wananchi.
Matamko mwachie afisa habari wa wizara apambane kujua ukweli halisi kwa wahandisi.
NB!
Waandishi wachambuzi na wadadisi wa makala wafike mradini kupata uchambuzi yakinifu iwe angalau kwa mwezi mara moja.
 
Hakuna sababu ya kujadili mtu au kumshutumu kabla ya kujenga hoja inayoeleweka.
Anza kwa kuhabarisha kwamba mradi ulipangwa ukamilike tarehe ......, kwa hiyo maelezo ya mh. Waziri Makamba January siyo sahihi.
Watanzania hawahitaji maneno ya kupendelea au kubeza viongozi, wanachohitaji ni ukweli na suluhisho la changamoto ili tusonge mbele.
 
Itakuwa vizuri kumwandama makamba kwanini umeme unakatika ovyoovyo kwa mifumo ya vyanzo vilivyopo.Hii itakuwa hoja ya msingi sana.

Bwawa JNHP kumlazimisha aseme kama watangulizi wake tutakuwa hatuko sahihi.
1.Rais ana vyanzo vingi vya taarifa kutoka kwenye mradi,malipo,wahujumu nk
2.Ni ngumu kujua ukweli wa matamko ya awamu ya 5&6 kama mkataba unakwenda kama ulivyo.
3.Matamko ya Mjengoni nikufurahisha waibiwa kura.
4.Ushauri kwa Makamba,punguza ukweli ulionao katika wizara kwa uliyoyakuta.
Jikite kuhakikisha umeme uliopo unawafikia wananchi.
Matamko mwachie afisa habari wa wizara apambane kujua ukweli halisi kwa wahandisi.
NB!
Waandishi wachambuzi na wadadisi wa makala wafike mradini kupata uchambuzi yakinifu iwe angalau kwa mwezi mara moja.
Hatutakiwi kumwandama yeyote kabla ya kujua ukweli.
Wote ni wenzetu, waliopita na waliopo.
Cha msingi ni kupata ukweli halafu suluhisho na tusonge mbele.
Uongozi ni dhamana kwa kipindi fulani tu, watakuja wengine pia.
 
Hii Id imekuwa ikimshambulia mno Makamba... anyway waarabu wa pemba nyie mnajuana vyema.
 
Makamba alisema mradi hadi kufika March mwaka huu mradi ulikuwa umechelewa siku 477. Msikilize hapa:

Post umeisoma kabla haijahaririwa na mods ,iliandikwa siku 100 au 477??

By the way huyo Makamba hiyo wizara yenyewe hatoshi!
 
Back
Top Bottom