Makamba na ukinyonga wake

Amulike Noel

Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
5
Reaction score
0
Katika taarifa ya habari ya ITV jana jana usiku katibu mkuu wa CCM Mh. Yusuph Makamba akiwa jimboni kwa Spika wa Bunge Mh Sitta huko Urambo Mashariki amemsifia Spika huyo kwa maneno mengi ya kisiasa nakielimu. Je, huyu Makamba huu ukinyoga wake mpaka lini ? Maana aliyoongea kwenye NEC na jana yanakanganya.
 

...mwambie ASIDANGANYIKE!
 
mropokaji hovyo hovyo mara nyingi huwa hakumbuki alichokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…