Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:
Ipo kazi! Mpaka October tutasikia mengi . . .
- CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
- Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
- Adai wote walisaini makubaliano ya kutumia lugha ya kiuungwana, iweje sasa wanakiuka
- Aitaka tume ya Uchaguzi ichukue hatua isisubiri ipelekewe malalamiko
- Adai JK ni kama baba, huwezi vumilia ukiona baba yako anatukanwa
Tanzania bila CCM inawezekana ! Baba mwenye Kifafa apumzike
Tunaomba tuambiwe hayo matusi ni yapi walotukanwa? Au ndo mambo ya nyani akitaka kufa? Anyway Rev. imeishakuwa confirmed kuwa JK anakifafa?
Inachekesha amesema siasa ni kuvumiliana mbona anajikanyaga uvumilivu upi anaosema yeye, kumbe ni kweli mkuki unafaa kwa nguruwe tu mwambieni Makamba na huyo Baba yake wawe wavumilivu.Walitakiwa wawe wamemalizana nawezi wenzao wa EPA,Wanawaita makapi waliowatoroka hilo siyo tusi na bado tutaona mengi mno kipindi hiki.Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:
Ipo kazi! Mpaka October tutasikia mengi . . .
- CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
- Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
- Adai wote walisaini makubaliano ya kutumia lugha ya kiuungwana, iweje sasa wanakiuka
- Aitaka tume ya Uchaguzi ichukue hatua isisubiri ipelekewe malalamiko
- Adai JK ni kama baba, huwezi vumilia ukiona baba yako anatukanwa
Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:
Ipo kazi! Mpaka October tutasikia mengi . . .
- CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
- Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
- Adai wote walisaini makubaliano ya kutumia lugha ya kiuungwana, iweje sasa wanakiuka
- Aitaka tume ya Uchaguzi ichukue hatua isisubiri ipelekewe malalamiko
- Adai JK ni kama baba, huwezi vumilia ukiona baba yako anatukanwa
its becoming an obsession now
Inaonekana Kinana amekuwa more thread kuliko hata mgombea mwenyewe
halafu in all this hakuna hata chembe ya ushahidi au chochote kuthibitisha tuhuma dhidi yake[/QUO
Warya Kinana ndi mwenye vijana wa kazi wenye kuteka meli kule Somalia:becky: