Elections 2010 Makamba ni mwanasiasa aliyejaa chuki na fitina

Kumzungumzia Makamba ni kupoteza muda wetu bure tujadilia mambo ya maana.
 
Makamba ni mdini, mchochezi na adui wa mstakabali wa amani ya taifa hili. Kati yake na polisi ni wapi wanajua zaidi ni yupi amehusika katika tukio fulani? Makamba alisema mbele ya vyombo vya habari kuwa wanaushahidi wa kimazingira kuwa Shubuda alihusika, siku chache baadaye polisi wamesema hahusiki katika vurugu zilizosababisha kifo.

Makamba utajuta siku uhuru wa kweli utakapopatikana Tanzania, utashitakiwa kwa uchochezi
 

I agree with you.... hata hii smear yote dhidi ya Dr Slaa ni muendelezo wa strategy za Makamba.
 
Hayo kwenye bold ndiyo ninayoyasema yeye ni mwepesi sana kusema wenzake wanatumia udini wakati mwenyewe ni mdini nambari wani, siku za mwanzo tu wa kampeni akarukia siasa za maji taka ambazo zilimtia aibu mbele ya jamii hakutegemea vinginevyo leo angekuwa anayaendeleza hayo kama mtaji wa siasa. Naomba Makamba siku tanzania itakapopata uhuru wa kweli awe bado hai.
 

huko siku za nyuma iliaminiwa kuwa magari ya wanasiasa wa ccm yalikuwa yanaonekana sana maeneo ya bagamoyo wakati wa kampeni, siku hizi ni wilaya anakotoka rais wa JMT. Tanga pia ni maeneo ambayo hutajwa tajwa sana kwenye chati za elimu ya jadi, vipi sumbawanga kwao PM? Jeuri hizi za kimakamba makamba ni matokeo ya maelezo wanayoyapata kutoka kwenye safu za kiufundi, if you know what i mean!
 
Makamba inawezekana anaongoza kuropoka this campaing,mnakumbuka aliwahi kusema Bashe si raia,Waziri wao akasema Bashe ni RAIA.Huyu mzee ukatibu mkuu si saizi yake ila jk anawabeba maswahiba sana.:nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…