Genius Mzee
Member
- Jul 29, 2021
- 50
- 222
Acha kujitoa fahamu mkuu1Kwani Makamba ndiyo umeme??
Kwaio makamba anawakomoa wana rukwa au sioNchi Kama imeuzwa tugawane tu maana sio kwa uhuni huu mnaotufanyia
Kaja na mpango wa kuuza tanesco.. kwa hivyo nafikiri lazima shida iongezeke kuhalalisha mpango wao.Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24.
Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku.
Inawezekana magenge ya wezi na mafisadi ya umeme yamerudi.
Ni siku ya 5 Sasa Rukwa hatuna umeme wa uhakika jamani hii sio haki hata kidogo.
Poleni sana wanafunzi mnajiandaa na mitihani mwaka huu.