Elections 2010 Makamba: Tumpe JK "zawadi" kwa aliyoyafanya

Elections 2010 Makamba: Tumpe JK "zawadi" kwa aliyoyafanya

Ilumine

Senior Member
Joined
Dec 27, 2008
Posts
196
Reaction score
4
Ninatazama hapa taarifa ktk ITV. Makamba anasema “kwa mambo mengi aliyoyafanya JK kwa miaka hiyo mitano, tumpe ZAWADI kwa kumchagua tena”
Jamani eeee, hivi kumbe tunapomchagua Rais “tunatoa ZAWADI”?
Basi, tuendelee kulitafakari hili, eti wenzetu wanahitaji zawadi zetu? Tena wanaombaomba namna hii? Sina mpango wa kumpa mtu zawadi ya mtindo huu mwaka huu. Kumbe ndio mchezo wao!! Wamekuwa wakipeana “posts” kama zawazi!!!! Fungueni macho!
 
Back
Top Bottom