Elections 2010 Makamba uko wapi? Ningependa kusikia kutoka kwako sio kawaida yako kukaa kimya

Elections 2010 Makamba uko wapi? Ningependa kusikia kutoka kwako sio kawaida yako kukaa kimya

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,605
Reaction score
6,092
Ndio hivyo sio kawaida yake huyu mtu kukaa kimya sasa sijui this time ni kitu gani kilichomsibu.
 
Makamba Must Gooooo immediately after the president took an oath.

Na sitaki kusikia ati Kinana ndie katibu mkuu nataka Katibu mkuu awe kijana sasa sio hao wazee hawajaona alama za nyakati kabisaaaa
 
Huwa nikimwangalia nahisi nimekutana na mzuka
 
Back
Top Bottom