Kinachosikitisha Watanzania wengi ni mambumbumbu mno, wagumu kuelewa na wepesi kusahau.
Trend imeonekana katika uchaguzi huu. Mikoa ambayo wana uelewa wa mambo na shauku ya mabadiliko ya maisha wameibwaga CCM na walikua tayari kulinda ushindi wao, Lakini mikoa mingine ambayo bado wamelala, sidhani kawa wataamka katika kipindi hiki.
Labda watakaponunua Sukari kwa SHS 2,500/- Mchele shs 3,000/- Cement Shs 20,000/- Bati SHs 20,000/- na 1 USD = Tshs 3,000/- ndipo watakaposhika akili vichwani mwao, But then it will be too late.
Lets wait and see hii miaka mitano italeta nini maana Mkataa Jema, Baya humsubiri.