nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa.
Asanteni.
Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nikuulize tu, masumbwe iko wap?Makambako siku ya treni ya mizigo pale tazara, ukiweza nenda mbeya soko la soweto ccm wanachana nguo Kwa siku kuna siku ya makoti, siku ya jinzi, siku ya tishirt, dodoma...
Sawa ila sijalenga dar mkuuKarume
Kwanini iko hivi?Tanzania nzima mitumba mikali ipo mbeya
alafu wanachukulia mizigo darTanzania nzima mitumba mikali ipo mbeya